utambulisho wa huseni mohamed hoswe
kwa jina naitwa Huseni mohamed Hoswe nina umri wa miaka 16 nimezaliwa terehe 04.05.1997 katika hospitali ya wazazi meta mimi ndiye mwandishi wa hii blog nimeamua kuianzisha hii blog kwa malengo mengi [1]kutunza kumbukumbu [2]kama ushaidi
inapendeza kufanya hivyo
JibuFuta